The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 40 › Isaiah 40:10

Isaiah 40:10

Tazameni, Bwana Mwenyezi anakuja na nguvu, 2 nao mkono wake ndio utawalao kwa ajili yake. 1 Tazameni, ujira wake u pamoja naye, 2 nayo malipo yake yanafuatana naye. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Behold, the Lord GOD will come with strong hand, and his arm shall rule for him: behold, his reward is with him, and his work before him.

In Context

9Wewe uletaye habari njema Sayuni, 2 panda juu ya mlima mrefu. 1 Wewe uletaye habari njema Yerusalemu, 2 inua sauti yako kwa kupiga kelele, 2 inua sauti, usiogope; 1 iambie miji ya Yuda, 2 “Yuko hapa Mungu wenu!” 1

11Huchunga kundi lake kama mchungaji wa mifugo: 2 Hukusanya wana-kondoo katika mikono yake 1 na kuwachukua karibu na moyo wake, 2 huwaongoza taratibu wale wanyonyeshao. 1

Read all of Isaiah 40

Cross References

Genesis 15:1Baada ya jambo hili, neno la Bwana likamjia Abramu katika maono: 1 “Usiogope, Abramu. 2 Mimi ni ngao yako, 2 na thawabu yako kubwa sana.”

Psalms 66:3Mwambieni Mungu, “Jinsi gani yalivyo ya kutisha matendo yako! 2 Uwezo wako ni mkuu mno kiasi kwamba 2 adui wananyenyekea mbele zako. 1

Psalms 110:6Atawahukumu mataifa, akilundika mizoga 2 na kuwaponda watawala wa dunia nzima. 1

Isaiah 49:4Lakini nilisema, “Nimetumika bure, 2 nimetumia nguvu zangu bure bila faida. 1 Hata hivyo linalonistahili liko mkononi mwa Bwana, 2 nao ujira wangu uko kwa Mungu wangu.” 1

Isaiah 51:5Haki yangu inakaribia mbio, 2 wokovu wangu unakuja, 2 nao mkono wangu utaleta hukumu kwa mataifa. 1 Visiwa vitanitegemea 2 na kungojea mkono wangu kwa matumaini. 1

Isaiah 59:15Kweli haipatikani popote, 2 na yeyote aepukaye uovu huwa mawindo. 1 Bwana alitazama naye akachukizwa 2 kwamba hapakuwepo haki. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 40:10

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 40:9Isaiah 40Isaiah 40:11 →