Isaiah 29:6
Bwana Mwenye Nguvu Zote atakuja 1 na ngurumo, tetemeko la ardhi, na kwa sauti kuu, 2 atakuja na dhoruba, tufani na miali ya moto iteketezayo. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
1 Samuel 2:10wale wampingao Bwana 2 wataharibiwa kabisa. 1 Atapiga radi dhidi yao kutoka mbinguni; 2 Bwana ataihukumu miisho ya dunia. 1 “Atampa nguvu mfalme wake, 2 na kuitukuza pembe 2 ya mpakwa mafuta wake.”
2 Samuel 22:14Bwana alinguruma kutoka mbinguni, 2 sauti ya Aliye Juu Sana ilisikika. 1
Isaiah 28:2Tazama, Bwana anaye mmoja aliye na uwezo na nguvu. 2 Kama dhoruba ya mvua ya mawe na upepo uharibuo, 1 kama mvua inyeshayo kwa nguvu na mafuriko yashukayo, 2 atakiangusha chini kwa nguvu. 1
Isaiah 31:9Ngome zao zitaanguka kwa sababu ya hofu; 2 kwa kuona bendera ya vita, 2 majemadari wao watashikwa na hofu ya ghafula,” 1 asema Bwana, 2 ambaye moto wake uko Sayuni, 2 nayo tanuru yake iko Yerusalemu.
Ezekiel 38:22Nitatekeleza hukumu juu yake kwa tauni na kwa umwagaji wa damu. Nitaifanya mvua ya mafuriko kunyesha, mvua ya mawe na moto wa kiberiti juu yake na juu ya vikosi vyake na juu ya mataifa mengi walio pamoja naye.
Mark 13:8Taifa litainuka dhidi ya taifa na ufalme dhidi ya ufalme. Kutakuwa na mitetemeko sehemu mbalimbali na njaa. Haya yatakuwa ndio mwanzo wa utungu.