Yeremia 4:3
Hili ndilo asemalo Bwana kwa watu wa Yuda na kwa Yerusalemu: 1 “Vunjeni mabonge kwenye mashamba yenu, 2 wala msipande katikati ya miiba. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 3:18Itazaa miiba na mibaruti kwa ajili yako, 2 nawe utakula mimea ya shambani. 1
Matthew 13:7Mbegu nyingine zilianguka kwenye miiba, nayo miiba hiyo ikakua, ikaisonga hiyo mimea.
Mark 4:7Mbegu nyingine zilianguka kwenye miiba, nayo miiba hiyo ikakua, ikaisonga hiyo mimea, hivyo haikutoa mazao.
Luke 8:7Nazo mbegu nyingine zilianguka kwenye miiba, nayo ile miiba ikakua pamoja nazo, na kuisonga hiyo mimea.
Galatians 6:7Msidanganyike, Mungu hadhihakiwi. Kwa kuwa kile apandacho mtu ndicho atakachovuna.