Isaya 29:15
Ole kwa wale wanaokwenda kwenye vilindi virefu 2 kumficha Bwana mipango yao, 1 wafanyao kazi zao gizani na kufikiri, 2 “Ni nani anayetuona? Ni nani atakayejua?” 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
2 Samuel 11:27Baada ya muda wa maombolezo kwisha, Daudi akamtaka aletwe nyumbani kwake, naye akawa mkewe, na akamzalia mwana. Lakini jambo alilokuwa amefanya Daudi lilimchukiza Bwana.
Job 22:13Hivyo wewe wasema, ‘Mungu anajua nini?’ 2 Je, yeye huhukumu katika giza kama hilo? 1
Job 34:22Hakuna mahali penye giza nene, wala uvuli mkubwa, 2 ambapo watenda mabaya wanaweza kujificha. 1
Psalms 59:7Tazama yale wanayotema kutoka vinywa vyao, 2 hutema upanga kutoka midomo yao, 2 nao husema, “Ni nani atakayetusikia?” 1
Psalms 73:11Wanasema, “Mungu awezaje kujua? 2 Je, Yeye Aliye Juu Sana anayo maarifa?” 1
Psalms 139:1Ee Bwana, umenichunguza 2 na kunijua. 1