The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 29 › Isaya 29:16

Isaya 29:16

Mnapindua mambo juu chini, 2 kana kwamba mfinyanzi aweza kufikiriwa kuwa kama udongo wa mfinyanzi! 1 Je, kile kilichofinyangwa chaweza kumwambia yule aliyekifinyanga, 2 “Wewe hukunifinyanga mimi?” 1 Je, chungu kinaweza kumwambia mfinyanzi, 2 “Wewe hujui chochote?” 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Surely your turning of things upside down shall be esteemed as the potter’s clay: for shall the work say of him that made it, He made me not? or shall the thing framed say of him that framed it, He had no understanding?

In Context

15Ole kwa wale wanaokwenda kwenye vilindi virefu 2 kumficha Bwana mipango yao, 1 wafanyao kazi zao gizani na kufikiri, 2 “Ni nani anayetuona? Ni nani atakayejua?” 1

17Kwa muda mfupi sana, je, Lebanoni haitageuzwa kuwa shamba lenye rutuba, 2 na shamba lenye rutuba liwe kama msitu? 1

Read all of Isaya 29

Cross References

Isaiah 24:1Tazama, Bwana ataifanya dunia kuwa ukiwa 2 na kuiharibu, 1 naye atauharibu uso wake 2 na kutawanya wakaao ndani yake: 1

Isaiah 64:8Lakini, Ee Bwana, wewe ndiwe Baba yetu. 2 Sisi ni udongo, wewe ndiye mfinyanzi; 2 sisi sote tu kazi ya mkono wako. 1

Acts 17:6Lakini walipowakosa wakamburuta Yasoni na ndugu wengine mbele ya maafisa wa mji, wakipiga kelele: “Watu hawa ni wale walioupindua ulimwengu wamekuja huku,

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 29:16

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 29:15Isaya 29Isaya 29:17 →