Isaiah 29:14
Kwa hiyo mara nyingine tena nitawashangaza watu hawa, 2 kwa ajabu juu ya ajabu. 1 Hekima ya wenye hekima itapotea, 2 nayo akili ya wenye akili itatoweka.” 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Job 12:17Yeye huwaondoa washauri wakiwa wametekwa nyara, 2 naye huwapumbaza wanaotoa maamuzi. 1
Isaiah 19:3Wamisri watakufa moyo, 2 na nitaibatilisha mipango yao. 1 Watatafuta ushauri kwa sanamu na kwa roho za waliokufa, 2 kwa waaguzi na kwa wale waongeao na mizimu. 1
Isaiah 28:21Bwana atainuka kama alivyofanya kwenye Mlima Perasimu, 2 ataghadhibika kama alivyofanya katika Bonde la Gibeoni: 1 ili kufanya kazi yake, kazi yake ya ajabu, 2 ili kutimiza kazi yake, kazi yake ngeni. 1
Isaiah 44:25“mimi huzipinga ishara za manabii wa uongo, 2 na kuwatia upumbavu waaguzi, 1 niyapinduaye maarifa ya wenye hekima, 2 na kuyafanya kuwa upuzi, 1
Jeremiah 19:7“ ‘Nitaiharibu mipango ya Yuda na Yerusalemu mahali hapa. Nitawafanya waanguke kwa upanga mbele ya adui zao, katika mikono ya wale watafutao uhai wao, nami nitaitoa mizoga yao kuwa chakula cha ndege wa angani na wanyama wa nchi.
Obadiah 1:8“Katika siku hiyo,” asema Bwana, 2 “je, sitaangamiza watu wenye hekima wa Edomu, 2 watu wenye ufahamu katika milima ya Esau? 1