The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 29 › Isaiah 29:3

Isaiah 29:3

Nitapiga kambi pande zote dhidi yako, 2 nitakuzunguka kwa minara 2 na kupanga mazingirwa yangu dhidi yako. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And I will camp against thee round about, and will lay siege against thee with a mount, and I will raise forts against thee.

In Context

2Hata hivyo nitauzunguka Arieli kwa jeshi, 2 utalia na kuomboleza, 1 utakuwa kwangu kama mahali 2 pa kuwashia moto madhabahuni. 1

4Utakaposhushwa, utanena kutoka ardhini, 2 utamumunya maneno yako kutoka mavumbini. 1 Sauti yako itatoka katika nchi kama vile ya mzimu, 2 utanongʼona maneno yako toka mavumbini. 1

Read all of Isaiah 29

Cross References

2 Kings 19:32“Kwa hiyo hili ndilo asemalo Bwana kuhusu mfalme wa Ashuru: 1 “Hataingia katika mji huu 2 wala hatapiga mshale hapa. 1 Hatakuja mbele yake akiwa na ngao, 2 wala kupanga majeshi kuuzingira. 1

2 Kings 25:1Hivyo katika mwaka wa tisa wa utawala wa Sedekia, katika siku ya kumi ya mwezi wa kumi, Nebukadneza mfalme wa Babeli, akiwa na jeshi lake lote, alifanya vita dhidi ya Yerusalemu. Akapiga kambi nje ya mji na kuuzunguka mji pande zote.

Ezekiel 21:22Upande wake wa kuume inakuja kura ya Yerusalemu, ambapo ataweka vyombo vya kuvunjia boma, ili kuamrisha mauaji, kupiga ukelele wa vita, kuweka vyombo vya kuvunjia boma kwenye malango, kuweka jeshi kuzunguka na kufanya uzingiraji.

Luke 19:43Hakika siku zinakujia, ambazo adui zako watakuzingira, nao watakuzunguka pande zote na kukuzuilia ndani.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 29:3

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 29:2Isaiah 29Isaiah 29:4 →