The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 29 › Isaiah 29:4

Isaiah 29:4

Utakaposhushwa, utanena kutoka ardhini, 2 utamumunya maneno yako kutoka mavumbini. 1 Sauti yako itatoka katika nchi kama vile ya mzimu, 2 utanongʼona maneno yako toka mavumbini. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And thou shalt be brought down, and shalt speak out of the ground, and thy speech shall be low out of the dust, and thy voice shall be, as of one that hath a familiar spirit, out of the ground, and thy speech shall whisper out of the dust.

In Context

3Nitapiga kambi pande zote dhidi yako, 2 nitakuzunguka kwa minara 2 na kupanga mazingirwa yangu dhidi yako. 1

5Lakini adui zako wengi watakuwa kama vumbi laini, 2 kundi la wakatili watakuwa 2 kama makapi yapeperushwayo. 1 Naam, ghafula, mara moja, 2

Read all of Isaiah 29

Cross References

Isaiah 2:11Macho ya mtu mwenye majivuno yatanyenyekezwa 2 na kiburi cha wanadamu kitashushwa, 1 Bwana peke yake ndiye atakayetukuzwa siku hiyo. 1

Isaiah 8:19Wakati watu wanapowaambia ninyi kutafuta ushauri kwa waaguzi na wenye kuongea na mizimu, ambao hunongʼona na kunungʼunika, je, watu wasingeuliza kwa Mungu wao? Kwa nini watake shauri kwa wafu kwa ajili ya walio hai?

Lamentations 1:9Uchafu wake umegandamana na nguo zake; 2 hakuwaza juu ya maisha yake ya baadaye. 1 Anguko lake lilikuwa la kushangaza, 2 hapakuwepo na yeyote wa kumfariji. 1 “Tazama, Ee Bwana, teso langu, 2 kwa maana adui ameshinda.” 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 29:4

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 29:3Isaiah 29Isaiah 29:5 →