Isaiah 3:9
Nyuso zao zinavyoonekana zinashuhudia dhidi yao, 2 hujivunia dhambi yao kama Sodoma, 2 wala hawaifichi. 1 Ole wao! 2 Wamejiletea maafa juu yao wenyewe. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
10Waambie wanyofu itakuwa heri kwao, 2 kwa kuwa watafurahia tunda la matendo yao. 1
Cross References
Genesis 13:13Basi watu wa Sodoma walikuwa waovu, wakifanya sana dhambi dhidi ya Bwana.
Genesis 19:5Wakamwita Loti wakisema, “Wako wapi wale watu ambao walikuja kwako jioni hii? Watoe nje kwetu ili tuweze kuwalawiti.”
1 Samuel 15:32Ndipo Samweli akasema, “Niletee Agagi mfalme wa Waamaleki.” Agagi akaja kwake kwa ujasiri, akifikiri, “Hakika uchungu wa mauti umepita.”
Psalms 10:4Katika kiburi chake, mwovu hamtafuti Mungu, 2 katika mawazo yake yote 2 hakuna nafasi ya Mungu. 1
Proverbs 8:36Lakini yeyote ashindwaye kunipata 2 hujiumiza mwenyewe; 2 na wote wanichukiao mimi hupenda mauti.”
Isaiah 3:16Bwana asema, 2 “Wanawake wa Sayuni wana kiburi, 1 wanatembea na shingo ndefu, 2 wakikonyeza kwa macho yao, 1 wanatembea kwa hatua za madaha, 2 wakiwa na mapambo ya njuga kwenye vifundo vya miguu yao. 1