Isaiah 3:19
vipuli, vikuku, shela,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The chains, and the bracelets, and the mufflers,
In Context
20vilemba, mikufu ya vifundo vya miguu, mshipi, chupa za manukato na hirizi,
Cross References
Genesis 24:22Ikawa ngamia walipokwisha kunywa wote, yule mtumishi akampa huyo msichana pete ya puani ya dhahabu yenye uzito wa beka moja + 24:22 Beka moja ya dhahabu ni sawa na gramu 5.5. na bangili mbili za dhahabu zenye uzito wa shekeli kumi. + 24:22 Shekeli 10 za dhahabu ni sawa na gramu 110.
Genesis 24:53Ndipo huyo mtumishi akatoa vitu vilivyotengenezwa kwa dhahabu na kwa fedha pamoja na mavazi, akampa Rebeka, pia akawapa zawadi za thamani kubwa nduguye na mamaye.
Genesis 38:25Alipokuwa akitolewa nje, akatuma ujumbe kwa baba mkwe wake kusema, “Nina mimba ya mtu mwenye vitu hivi.” Akaongeza kusema, “Angalia kama utatambua kwamba pete hii na kamba yake pamoja na fimbo hii ni vya nani.”
Exodus 32:3Kwa hiyo watu wote wakavua vipuli vyao, wakavileta kwa Aroni.
Numbers 31:50Kwa hiyo tumeleta kama sadaka kwa Bwana vyombo vya dhahabu kila mmoja wetu alivyopata, yaani vikuku, bangili, pete za muhuri, vipuli na mikufu, ili kufanya upatanisho kwa ajili yetu mbele za Bwana.”
Ezekiel 16:12nikaweka hazama puani mwako, vipuli masikioni mwako na taji nzuri sana kichwani mwako.