Isaiah 3:24
Badala ya harufu ya manukato kutakuwa na uvundo; 2 badala ya mishipi, ni kamba; 1 badala ya nywele zilizotengenezwa vizuri, ni upara; 2 badala ya mavazi mazuri, ni nguo za magunia; 2 badala ya uzuri, ni alama ya aibu kwa chuma cha moto. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
23vioo, mavazi ya kitani, taji na shali. 1
25Wanaume wako watauawa kwa upanga, 2 nao mashujaa wako watauawa vitani. 1
Cross References
Deuteronomy 28:22Bwana atakupiga kwa magonjwa ya kudhoofisha, kwa homa na kuwashwa, hari na kwa ukame, kutu na kuwa na uchungu ambavyo vitakupiga mpaka uangamie.
Esther 2:12Kabla zamu ya msichana haijafika ya kwenda kwa Mfalme Ahasuero, ilimbidi atimize miezi kumi na miwili ya matunzo ya urembo kama ilivyokuwa imepangwa. Kwa miezi sita walikuwa wajipake mafuta ya manemane, na miezi sita kujipaka manukato na vipodozi.
Proverbs 7:17Nimetia manukato kitanda changu 2 kwa manemane, udi na mdalasini. 1
Isaiah 4:4Bwana atausafisha uchafu wa wanawake wa Sayuni, atatakasa madoa ya damu kutoka Yerusalemu kwa Roho ya hukumu na Roho ya moto.
Isaiah 15:3Wamevaa nguo za magunia barabarani, 2 juu ya mapaa na kwenye viwanja 1 wote wanaomboleza, 2 wamelala kifudifudi kwa kulia. 1
Isaiah 32:9Enyi wanawake wenye kuridhika sana, 2 amkeni na mnisikilize. 1 Enyi binti mnaojisikia kuwa salama, 2 sikieni lile ninalotaka kuwaambia! 1