Isaiah 3:5
Watu wataoneana wao kwa wao: 2 mtu dhidi ya mtu, na jirani dhidi ya jirani yake. 1 Kijana atainuka dhidi ya mzee, 2 mtu mnyonge dhidi ya mtu mwenye heshima. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
4Nitawafanya wavulana wawe maafisa wao, 2 watoto ndio watakaowatawala. 1
Cross References
2 Samuel 16:5Mfalme Daudi alipokuwa anakaribia Bahurimu, mtu mmoja kutoka ukoo huo huo kama jamaa ya Sauli, akatoka humo, ambaye jina lake ni Shimei mwana wa Gera; akawa analaani alipokuwa akitoka.
Job 30:1“Lakini sasa watu wadogo kwa umri kuniliko wananidhihaki, 1 watu ambao baba zao ningekataa kwa dharau 2 kuwaweka pamoja na mbwa wangu wa kulinda kondoo. 1
Isaiah 1:4Lo! Taifa lenye dhambi, 2 watu waliolemewa na uovu, 1 uzao wa watenda mabaya, 2 watoto waliozoelea upotovu! 1 Wamemwacha Bwana, 2 Wamemkataa kwa dharau 2 yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli 2 na kumgeuzia kisogo. 1
Isaiah 9:19Kwa hasira ya Bwana Mwenye Nguvu Zote 2 nchi itachomwa kwa moto, 1 nao watu watakuwa kuni za kuchochea moto. 2 Hakuna mtu atakayemhurumia ndugu yake. 1
Isaiah 19:2“Nitamchochea Mmisri dhidi ya Mmisri, 2 ndugu atapigana dhidi ya ndugu, 2 jirani dhidi ya jirani, 2 mji dhidi ya mji, 2 ufalme dhidi ya ufalme. 1
Jeremiah 22:17“Lakini macho yako na moyo wako vimeelekezwa tu 2 katika mapato ya udhalimu, 1 kwa kumwaga damu isiyo na hatia, 2 kwa uonevu na ukatili.”