Isaiah 3:7
Lakini siku hiyo atapiga kelele akisema, 2 “Sina uponyaji. 1 Sina chakula wala mavazi katika nyumba yangu, 2 msinifanye niwe kiongozi wa watu.” 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 32:40Ninainua mkono wangu kuelekea mbinguni na kusema: 2 Hakika kama niishivyo milele, 1
Jeremiah 14:19Je, umemkataa Yuda kabisa? 2 Umemchukia Sayuni kabisa? 1 Kwa nini umetuumiza 2 hata hatuwezi kuponyeka? 1 Tulitarajia amani, 2 lakini hakuna jema lililotujia; 1 tulitarajia wakati wa kupona 2 lakini kuna hofu kuu tu. 1
Ezekiel 34:4Hamkuwatia nguvu walio dhaifu wala hamkuwaganga wenye maradhi wala kuwafunga waliojeruhiwa. Hamkuwarudisha waliotangatanga wala kuwatafuta wale waliopotea. Badala yake mmewatawala kwa ukali na kwa ukatili.
Hosea 6:1“Njooni, tumrudie Bwana. 1 Ameturarua vipande vipande 2 lakini atatuponya; 1 ametujeruhi lakini 2 atatufunga majeraha yetu. 1