The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 32 › Isaiah 32:2

Isaiah 32:2

Kila mtu atakuwa kama kivuli cha kujificha kutokana na upepo 2 na kimbilio kutokana na dhoruba, 1 kama vijito vya maji jangwani 2 na kivuli cha mwamba mkubwa katika ardhi yenye kiu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And a man shall be as an hiding place from the wind, and a covert from the tempest; as rivers of water in a dry place, as the shadow of a great rock in a weary land.

In Context

1Tazama, mfalme atatawala kwa uadilifu 2 na watawala watatawala kwa haki. 1

3Ndipo macho ya wale wanaoona hayatafumbwa tena, 2 nayo masikio ya wale wanaosikia yatasikiliza. 1

Read all of Isaiah 32

Cross References

Psalms 32:7Wewe ndiwe mahali pangu pa kujificha, 2 utaniepusha na taabu 2 na kunizunguka kwa nyimbo za wokovu. 1

Psalms 143:9Ee Bwana, uniokoe na adui zangu, 2 kwa kuwa nimejificha kwako. 1

Isaiah 4:5Kisha Bwana ataumba juu ya Mlima wote wa Sayuni, na juu ya wale wote wanaokusanyika hapo, wingu la moshi wakati wa mchana, na kungʼaa kwa miali ya moto wakati wa usiku, nako juu ya huo utukufu wote kutatanda kifuniko cha ulinzi.

Isaiah 7:14Kwa hiyo Bwana mwenyewe atawapa ishara: Bikira atachukua mimba, naye atamzaa mwana, na ataitwa Imanueli. + 7:14 Imanueli maana yake Mungu yu pamoja nasi.

Isaiah 9:6Kwa maana, kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, 2 tumepewa mtoto mwanaume, 2 nao utawala utakuwa mabegani mwake. 1 Naye ataitwa 2 Mshauri wa Ajabu, Mungu Mwenye Nguvu, 2 Baba wa Milele, Mfalme wa Amani. 1

Isaiah 26:20Nendeni, watu wangu, ingieni vyumbani mwenu 2 na mfunge milango nyuma yenu, 1 jificheni kwa kitambo kidogo 2 mpaka ghadhabu yake ipite. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 32:2

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 32:1Isaiah 32Isaiah 32:3 →