Isaiah 32:4
Moyo wa mtu mwenye hamaki utafahamu na kuelewa, 2 nao ulimi wenye kigugumizi utanena kwa ufasaha. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
3Ndipo macho ya wale wanaoona hayatafumbwa tena, 2 nayo masikio ya wale wanaosikia yatasikiliza. 1
5Mpumbavu hataitwa tena muungwana, 2 wala mtu mbaya kabisa kupewa heshima ya juu. 1
Cross References
Nehemiah 8:8Walisoma kutoka kile Kitabu cha Sheria ya Mungu, wakiifafanua na kuwapa maelezo ili watu waweze kufahamu kile kilichokuwa kikisomwa.
Isaiah 29:24Wale wanaopotoka rohoni watapata ufahamu, 2 nao wale wanaolalamika watayakubali mafundisho.”
Matthew 16:17Naye Yesu akamwambia, “Heri wewe, Simoni Bar-Yona, + 16:17 Bar-Yona ni neno la Kiaramu, maana yake ni Mwana wa Yona. kwa maana hili halikufunuliwa kwako na mwanadamu, bali na Baba yangu aliye mbinguni.
Acts 2:4Wote wakajazwa na Roho Mtakatifu, wakaanza kunena kwa lugha nyingine, kama Roho alivyowajalia.
Acts 6:7Neno la Mungu likazidi kuenea. Idadi ya wanafunzi ikazidi kuongezeka sana katika Yerusalemu hata makuhani wengi wakaitii ile imani. 1 Kukamatwa Kwa Stefano
Galatians 1:23Wao walisikia habari tu kwamba, “Mtu yule ambaye hapo kwanza alikuwa akitutesa sasa anahubiri imani ile ile aliyokuwa akijaribu kuiangamiza.”