Isaiah 32:9
Enyi wanawake wenye kuridhika sana, 2 amkeni na mnisikilize. 1 Enyi binti mnaojisikia kuwa salama, 2 sikieni lile ninalotaka kuwaambia! 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Rise up, ye women that are at ease; hear my voice, ye careless daughters; give ear unto my speech.
In Context
Cross References
Deuteronomy 28:56Mwanamke ambaye ni muungwana sana na makini miongoni mwako, yaani ambaye ni makini sana na muungwana kiasi kwamba asingethubutu kugusa ardhi kwa wayo wa mguu wake, yeye atakuwa mchoyo kwa mume ampendaye na mwanawe mwenyewe au binti yake,
Psalms 49:1Sikieni haya, enyi mataifa yote, 2 sikilizeni, ninyi wote mkaao dunia hii. 1
Isaiah 28:23Sikilizeni msikie sauti yangu, 2 tegeni masikio na msikie niyasemayo. 1
Jeremiah 6:2Nitamwangamiza Binti Sayuni, 2 aliye mzuri sana na mwororo. 1
Jeremiah 48:11“Moabu amestarehe tangu ujana wake, 2 kama divai iliyoachwa kwenye machujo yake, 1 haikumiminwa kutoka chombo kimoja hadi kingine, 2 hajaenda uhamishoni. 1 Kwa hiyo ana ladha ile ile kama aliyokuwa nayo, 2 nayo harufu yake haijabadilika. 1
Amos 6:1Ole wenu ninyi mnaostarehe na kuridhika katika Sayuni, 2 na ninyi mnaojisikia salama juu ya Mlima Samaria, 1 ninyi watu mashuhuri wa taifa lililoendelea kuliko mataifa mengine, 2 ambao watu wa Israeli wanawategemea! 1