The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 32 › Isaiah 32:10

Isaiah 32:10

Muda zaidi kidogo ya mwaka mmoja, 2 ninyi mnaojisikia salama mtatetemeka, 1 mavuno ya zabibu yatakoma 2 na mavuno ya matunda hayatakuwepo. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Many days and years shall ye be troubled, ye careless women: for the vintage shall fail, the gathering shall not come.

In Context

9Enyi wanawake wenye kuridhika sana, 2 amkeni na mnisikilize. 1 Enyi binti mnaojisikia kuwa salama, 2 sikieni lile ninalotaka kuwaambia! 1

11Tetemekeni, enyi wanawake wenye kuridhika, 2 tetemekeni kwa hofu, enyi binti mnaojisikia salama! 1 Vueni nguo zenu, 2 vaeni nguo ya gunia viunoni mwenu. 1

Read all of Isaiah 32

Cross References

Isaiah 5:5Sasa nitawaambia lile nitakalolitendea 2 shamba langu la mizabibu: 1 Nitaondoa uzio wake, 2 nalo litaharibiwa, 1 nitabomoa ukuta wake, 2 nalo litakanyagwa. 1

Isaiah 16:10Furaha na shangwe zimeondolewa 2 kutoka mashamba ya matunda; 1 hakuna yeyote aimbaye wala apazaye sauti 2 katika mashamba ya mizabibu; 1 hakuna yeyote akanyagaye zabibu shinikizoni, 2 kwa kuwa nimekomesha makelele. 1

Isaiah 24:11Barabarani wanalilia kupata mvinyo, 2 furaha yote imegeuka kuwa majonzi, 2 furaha yote imefukuziwa mbali na dunia. 1

Jeremiah 25:10Nitawaondolea sauti ya shangwe na furaha, sauti ya bibi na bwana arusi, sauti ya mawe ya kusagia, na mwanga wa taa.

Hosea 3:4Kwa maana Waisraeli wataishi siku nyingi bila kuwa na mfalme wala mkuu, bila kuwa na dhabihu wala mawe matakatifu, bila kisibau wala sanamu.

Joel 1:12Mzabibu umekauka 2 na mtini umenyauka; 1 mkomamanga, mtende na mtofaa, 2 miti yote shambani, imekauka. 1 Hakika furaha yote ya mwanadamu 2 imeondoka. 1 Wito Wa Toba 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 32:10

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 32:9Isaiah 32Isaiah 32:11 →