Ayubu 31:7
kama hatua zangu zimepotoka kutoka kwenye njia, 2 kama moyo wangu umeongozwa na macho yangu, 2 au kama mikono yangu imetiwa unajisi, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
6Mungu na anipime katika mizani za uaminifu, 2 naye atajua kwamba sina hatia: 1
8basi wengine na wale nilichokipanda, 2 nayo yale yote niliyootesha na yangʼolewe. 1
Cross References
Job 9:30Hata kama ningejiosha kwa sabuni 2 na kutakasa mikono yangu kwa magadi, 1
Job 17:9Hata hivyo, waadilifu watazishika njia zao, 2 nao wale wenye mikono safi wataendelea kupata nguvu. 1
Job 27:5Sitakubaliana nanyi kabisa kuwa mko sahihi; 2 hadi nife, sitakana uadilifu wangu. 1
Psalms 7:4au ikiwa nimemtenda uovu aliye na amani nami, 2 au nimemnyangʼanya adui yangu pasipo sababu, 1
Psalms 101:3Sitaweka mbele ya macho yangu 2 kitu kiovu. 1 Ninayachukia matendo ya watu wasio na imani; 2 hawatashikamana nami. 1
Isaiah 33:15Yeye aendaye kwa uadilifu 2 na kusema lililo haki, 1 yeye anayekataa faida ipatikanayo kwa dhuluma 2 na kuizuia mikono yake isipokee rushwa, 1 yeye azuiaye masikio yake dhidi ya mashauri ya mauaji, 2 na yeye afumbaye macho yake yasitazame sana uovu: 1