Isaiah 33:2
Ee Bwana, uturehemu, 2 tunakutamani. 1 Uwe nguvu yetu kila asubuhi 2 na wokovu wetu wakati wa taabu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
3Kwa ngurumo ya sauti yako, mataifa yanakimbia; 2 unapoinuka, mataifa hutawanyika. 1
Cross References
Psalms 25:3Kamwe hakuna hata mmoja anayekutegemea 2 atakayeaibishwa, 1 bali wataaibishwa 2 wafanyao hila bila sababu. 1
Psalms 33:22Upendo wako usio na mwisho ukae juu yetu, Ee Bwana, 2 tunapoliweka tumaini letu kwako.
Psalms 46:1Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu, 2 msaada utakaoonekana tele wakati wa mateso. 1
Psalms 50:15na uniite siku ya taabu; 2 nami nitakuokoa, nawe utanitukuza.”
Psalms 62:1Kwa Mungu peke yake nafsi yangu inapata pumziko; 2 wokovu wangu watoka kwake. 1
Psalms 62:8Enyi watu, mtumainini yeye wakati wote, 2 miminieni mioyo yenu kwake, 2 kwa kuwa Mungu ni kimbilio letu. 1