Isaiah 33:1
Ole wako wewe, ee mharabu, 2 wewe ambaye hukuharibiwa! 1 Ole wako, ee msaliti, 2 wewe ambaye hukusalitiwa! 1 Utakapokwisha kuharibu, 2 utaharibiwa; 1 utakapokwisha kusaliti, 2 utasalitiwa. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Judges 1:7Ndipo Adoni-Bezeki akasema, “Nimewatendea wafalme sabini kama nilivyotendewa na kuwalisha makombo ya chakula chini ya meza yangu. Sasa Mungu amenilipa haya, kama yale niliyowatendea.” Wakamleta Yerusalemu, naye akafa huko.
2 Chronicles 28:16Wakati ule, Mfalme Ahazi akatuma wajumbe kwa mfalme wa Ashuru kuomba msaada.
Isaiah 10:5“Ole kwa Ashuru, fimbo ya hasira yangu, 2 ambaye mkononi mwake ana rungu ya ghadhabu yangu! 1
Isaiah 17:14Wakati wa jioni, hofu ya ghafula! 2 Kabla ya asubuhi, wametoweka! 1 Hili ndilo fungu la wale wanaotupora, 2 fungu la wale wanaotunyangʼanya mali zetu.
Isaiah 24:16Kutoka miisho ya dunia tunasikia uimbaji: 2 “Utukufu kwa Yule Mwenye Haki.” 1 Lakini nilisema, “Ninadhoofika, ninadhoofika! 2 Ole wangu! 1 Watenda hila wanasaliti! 2 Kwa hila watenda hila wanasaliti!” 1
Jeremiah 25:12“Lakini miaka sabini itakapotimia, nitamwadhibu mfalme wa Babeli na taifa lake na nchi ya Wakaldayo kwa ajili ya hatia yao,” asema Bwana. “Nitaifanya kuwa ukiwa milele.