Isaiah 37:33
“Kwa hiyo hili ndilo asemalo Bwana kuhusu mfalme wa Ashuru: 1 “Hataingia katika mji huu 2 wala hatapiga mshale hapa. 1 Hatakuja mbele yake na ngao 2 wala kupanga majeshi kuuzingira. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
34Kwa njia ile aliyoijia ndiyo atakayorudi; 2 hataingia katika mji huu,” 4 asema Bwana. 1
Cross References
2 Kings 19:32“Kwa hiyo hili ndilo asemalo Bwana kuhusu mfalme wa Ashuru: 1 “Hataingia katika mji huu 2 wala hatapiga mshale hapa. 1 Hatakuja mbele yake akiwa na ngao, 2 wala kupanga majeshi kuuzingira. 1
Isaiah 10:32Siku hii ya leo watasimama Nobu; 2 watatikisa ngumi zao 1 kwa mlima wa Binti Sayuni, 2 kwa kilima cha Yerusalemu. 1
Isaiah 17:14Wakati wa jioni, hofu ya ghafula! 2 Kabla ya asubuhi, wametoweka! 1 Hili ndilo fungu la wale wanaotupora, 2 fungu la wale wanaotunyangʼanya mali zetu.
Ezekiel 21:22Upande wake wa kuume inakuja kura ya Yerusalemu, ambapo ataweka vyombo vya kuvunjia boma, ili kuamrisha mauaji, kupiga ukelele wa vita, kuweka vyombo vya kuvunjia boma kwenye malango, kuweka jeshi kuzunguka na kufanya uzingiraji.