Isaiah 33:21
Huko Bwana atakuwa Mwenye Nguvu wetu. 2 Patakuwa kama mahali pa mito mipana na vijito. 1 Hakuna jahazi lenye makasia litakalopita huko, 2 wala hakuna meli yenye nguvu itakayopita huko. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 23:15Ikiwa mtumwa amekimbilia kwako, usimrudishe kwa bwana wake.
Psalms 46:4Kuna mto ambao vijito vyake vinaufurahisha mji wa Mungu, 2 mahali patakatifu ambako Aliye Juu Sana anaishi. 1
Isaiah 41:18Nitaifanya mito itiririke juu ya vilima vilivyo kame, 2 nazo chemchemi ndani ya mabonde. 1 Nitaligeuza jangwa liwe mabwawa ya maji, 2 nayo ardhi iliyokauka kuwa chemchemi za maji. 1
Isaiah 66:12Kwa kuwa hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Nitamwongezea amani kama mto, 2 nao utajiri wa mataifa kama kijito kifurikacho; 1 utanyonya na kuchukuliwa mikononi mwake 2 na kubembelezwa magotini pake. 1
Acts 7:2Stefano akajibu, “Ndugu zangu na baba zangu, nisikilizeni! Mungu wa utukufu alimtokea baba yetu Abrahamu, alipokuwa bado yuko Mesopotamia, kabla hajaishi Harani,