Isaiah 33:23
Kamba zenu za merikebu zimelegea: 2 Mlingoti haukusimama imara, 2 nalo tanga halikukunjuliwa. 1 Wingi wa mateka yatagawanywa, 2 hata yeye aliye mlemavu atachukua nyara. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
1 Samuel 30:22Lakini watu wote waovu na wakorofi miongoni mwa wafuasi wa Daudi wakasema, “Kwa sababu hawakwenda pamoja nasi, hatutagawana nao nyara tulizorudisha. Lakini, kila mtu aweza kuchukua mkewe na watoto wake na kuondoka.”
2 Kings 7:16Kisha watu wakatoka na kuteka nyara kambi ya Waaramu. Kwa hiyo kipimo cha unga mzuri kikauzwa kwa shekeli, na vipimo viwili vya shayiri kwa shekeli, kama vile Bwana alivyokuwa amesema.
Psalms 68:12“Wafalme na majeshi walikimbia upesi, 2 watu waliobaki kambini waligawana nyara. 1
Isaiah 33:1Ole wako wewe, ee mharabu, 2 wewe ambaye hukuharibiwa! 1 Ole wako, ee msaliti, 2 wewe ambaye hukusalitiwa! 1 Utakapokwisha kuharibu, 2 utaharibiwa; 1 utakapokwisha kusaliti, 2 utasalitiwa. 1
Isaiah 33:21Huko Bwana atakuwa Mwenye Nguvu wetu. 2 Patakuwa kama mahali pa mito mipana na vijito. 1 Hakuna jahazi lenye makasia litakalopita huko, 2 wala hakuna meli yenye nguvu itakayopita huko. 1
Acts 27:19Siku ya tatu, wakatupa vyombo vya meli baharini kwa mikono yao wenyewe.