The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 33 › Isaiah 33:6

Isaiah 33:6

Atakuwa msingi ulio imara kwa wakati wenu, 2 ghala za wokovu tele, hekima na maarifa; 2 kumcha Bwana ni ufunguo wa hazina hii. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And wisdom and knowledge shall be the stability of thy times, and strength of salvation: the fear of the LORD is his treasure.

In Context

5Bwana ametukuka, kwa kuwa anakaa mahali palipoinuka, 2 ataijaza Sayuni kwa haki na uadilifu. 1

7Angalia, watu wake mashujaa wanapiga kelele kwa nguvu barabarani, 2 wajumbe wa amani wanalia kwa uchungu. 1

Read all of Isaiah 33

Cross References

2 Chronicles 32:27Hezekia alikuwa na utajiri mwingi sana na heshima, naye akajifanyia hazina kwa ajili ya fedha yake na dhahabu na kwa ajili ya vito vyake vya thamani, vikolezi, ngao na aina zote za vyombo vya thamani.

Psalms 27:1Bwana ni nuru yangu na wokovu wangu, 2 nimwogope nani? 1 Bwana ni ngome ya uzima wangu, 2 nimhofu nani? 1

Psalms 45:4Katika fahari yako, songa mbele kwa ushindi, 2 kwa ajili ya kweli, unyenyekevu na haki, 2 mkono wako wa kuume na uonyeshe matendo ya kutisha. 1

Psalms 140:7Ee Bwana Mwenyezi, Mwokozi wangu mwenye nguvu, 2 unikingaye kichwa changu siku ya vita: 1

Proverbs 14:24Utajiri wa wenye hekima ni taji yao, 2 bali upumbavu wa wapumbavu huzaa upumbavu. 1

Proverbs 14:27Kumcha Bwana ni chemchemi ya uzima, 2 ili kumwepusha mtu na mitego ya mauti. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 33:6

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 33:5Isaiah 33Isaiah 33:7 →