Isaiah 33:7
Angalia, watu wake mashujaa wanapiga kelele kwa nguvu barabarani, 2 wajumbe wa amani wanalia kwa uchungu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Behold, their valiant ones shall cry without: the ambassadors of peace shall weep bitterly.
In Context
Cross References
2 Kings 18:37Kisha Eliakimu mwana wa Hilkia msimamizi wa jumba la kifalme, Shebna katibu, na Yoa mwana wa Asafu, mwandishi wakamwendea Hezekia, nguo zao zikiwa zimeraruliwa, na kumwambia yale jemadari wa jeshi aliyoyasema.
Isaiah 36:3Eliakimu mwana wa Hilkia aliyekuwa msimamizi wa jumba la kifalme, Shebna aliyekuwa katibu, na Yoa mwana wa Asafu mwandishi wakamwendea.