The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 33 › Isaiah 33:8

Isaiah 33:8

Njia kuu zimeachwa, 2 hakuna wasafiri barabarani. 1 Mkataba umevunjika, 2 mashahidi wake wamedharauliwa, + 33:8 Au: miji yake imedharauliwa. 2 hakuna yeyote anayeheshimiwa. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

The highways lie waste, the wayfaring man ceaseth: he hath broken the covenant, he hath despised the cities, he regardeth no man.

In Context

7Angalia, watu wake mashujaa wanapiga kelele kwa nguvu barabarani, 2 wajumbe wa amani wanalia kwa uchungu. 1

9Ardhi inaomboleza + 33:9 Au: Ardhi inakauka. na kuchakaa, 2 Lebanoni imeaibika na kunyauka, 1 Sharoni ni kama Araba, 2 nayo Bashani na Karmeli 2 wanapukutisha majani yao. 1

Read all of Isaiah 33

Cross References

Leviticus 26:22Nitawatuma wanyama mwitu dhidi yenu, nao watawaibieni watoto wenu, watawaangamiza ngʼombe wenu, na kuifanya idadi yenu kuwa ndogo, hivi kwamba barabara zenu zitakuwa hazina watu.

1 Samuel 17:10Kisha yule Mfilisti akasema, “Siku hii ya leo nayatukana majeshi ya Israeli! Nipeni mtu tupigane.”

2 Kings 18:13Katika mwaka wa kumi na nne wa utawala wa Mfalme Hezekia, Senakeribu mfalme wa Ashuru akaishambulia miji yote ya Yuda yenye ngome na kuiteka.

Psalms 10:5Njia zake daima hufanikiwa; 2 hujivuna na amri zako ziko mbali naye, 2 huwacheka kwa dharau adui zake wote. 1

Isaiah 10:13Kwa kuwa anasema: 1 “ ‘Kwa nguvu za mkono wangu nimefanya hili, 2 kwa hekima yangu, kwa sababu nina ufahamu. 1 Niliondoa mipaka ya mataifa, 2 niliteka nyara hazina zao, 1 kama yeye aliye shujaa 2 niliwatiisha wafalme wao. 1

Isaiah 35:8Nako kutakuwa na njia kuu, 2 nayo itaitwa Njia ya Utakatifu. 1 Wasio safi hawatapita juu yake; 2 itakuwa ya wale watembeao katika Njia ile; 1 yeye asafiriye juu yake, 2 ajapokuwa mjinga, hatapotea. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 33:8

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 33:7Isaiah 33Isaiah 33:9 →