The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 34 › Isaiah 34:10

Isaiah 34:10

Haitazimishwa usiku wala mchana, 2 moshi wake utapaa juu milele. 1 Kutoka kizazi hadi kizazi itakuwa ukiwa, 2 hakuna mtu yeyote atakayepita huko tena. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

It shall not be quenched night nor day; the smoke thereof shall go up for ever: from generation to generation it shall lie waste; none shall pass through it for ever and ever.

In Context

9Vijito vya Edomu vitageuka kuwa lami, 2 mavumbi yake yatakuwa kiberiti kiunguzacho, 2 nchi yake itakuwa lami iwakayo! 1

11Bundi wa jangwani na bundi mwenye sauti nyembamba wataimiliki, 2 bundi wakubwa na kunguru wataweka viota humo. 1 Mungu atanyoosha juu ya Edomu 2 kamba ya kupimia ya machafuko matupu, 2 na timazi ya ukiwa. 1

Read all of Isaiah 34

Cross References

Isaiah 1:31Mtu mwenye nguvu atatoweka kama majani makavu yawakayo moto, 2 na kazi yake kama cheche ya moto; 1 vyote vitaungua pamoja, 2 wala hakuna wa kuuzima huo moto.”

Isaiah 24:1Tazama, Bwana ataifanya dunia kuwa ukiwa 2 na kuiharibu, 1 naye atauharibu uso wake 2 na kutawanya wakaao ndani yake: 1

Isaiah 66:24“Nao watatoka nje na kuona maiti za wale walioniasi mimi. Funza wao hawatakufa, wala moto wao hautazimika, nao watakuwa kitu cha kuchukiza sana kwa wanadamu wote.”

Jeremiah 49:18Kama vile Sodoma na Gomora zilivyoangamizwa, 2 pamoja na miji iliyokuwa jirani nayo,” 4 asema Bwana, 1 “vivyo hivyo hakuna mtu yeyote atakayeishi humo. 2 Naam, hakuna mtu yeyote atakayekaa humo. 1

Ezekiel 29:11Hakuna unyayo wa mtu au mnyama utakaopita ndani yake, wala hakuna yeyote atakayeishi humo kwa muda wa miaka arobaini.

Mark 9:43Kama mkono wako ukikusababisha kutenda dhambi, ukate. Ni afadhali kwako kuingia katika uzima ukiwa na mkono mmoja, kuliko kuwa na mikono miwili lakini ukaingia jehanamu, mahali ambako moto hauzimiki. [

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 34:10

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 34:9Isaiah 34Isaiah 34:11 →