The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 34 › Isaya 34:11

Isaya 34:11

Bundi wa jangwani na bundi mwenye sauti nyembamba wataimiliki, 2 bundi wakubwa na kunguru wataweka viota humo. 1 Mungu atanyoosha juu ya Edomu 2 kamba ya kupimia ya machafuko matupu, 2 na timazi ya ukiwa. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

But the cormorant and the bittern shall possess it; the owl also and the raven shall dwell in it: and he shall stretch out upon it the line of confusion, and the stones of emptiness.

In Context

10Haitazimishwa usiku wala mchana, 2 moshi wake utapaa juu milele. 1 Kutoka kizazi hadi kizazi itakuwa ukiwa, 2 hakuna mtu yeyote atakayepita huko tena. 1

12Watu wake wa kuheshimiwa hawatakuwa na chochote 2 kitakachoitwa ufalme huko, 2 nao wakuu wao wote watatoweka. 1

Read all of Isaya 34

Cross References

Leviticus 11:16mbuni, kiruka-njia, dudumizi, kipanga, shakwe, aina zote za kipanga,

2 Kings 21:13Nitanyoosha juu ya Yerusalemu kamba ya kupimia iliyotumika dhidi ya Samaria, na timazi iliyotumika dhidi ya nyumba ya Ahabu. Nitaifutilia mbali Yerusalemu kama mtu afutaye sahani, nikiifuta na kuifunikiza.

Isaiah 14:23“Nitaifanya kuwa mahali pa bundi, 2 na kuwa nchi ya matope; 1 nitaifagia kwa ufagio wa maangamizi,” 2 asema Bwana Mwenye Nguvu Zote. 1 Unabii Dhidi Ya Ashuru

Lamentations 2:8Bwana alikusudia kuangusha 2 ukuta uliomzunguka Binti Sayuni. 1 Ameinyoosha kamba ya kupimia 2 na hakuuzuia mkono wake usiangamize. 1 Alifanya maboma na kuta ziomboleze, 2 vyote vikaharibika pamoja. 1

Malachi 1:3lakini nikamchukia Esau, nami nimeifanya milima yake kuwa ukiwa, na urithi wake nimewapa mbweha wa jangwani.”

Revelation 18:21Kisha malaika mmoja mwenye nguvu akainua jiwe kubwa kama la kusagia akalitupa baharini akisema: 1 “Hivyo ndivyo mji mkubwa Babeli 2 utakavyotupwa chini kwa nguvu 2 wala hautaonekana tena. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 34:11

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 34:10Isaya 34Isaya 34:12 →