Isaya 34:3
Waliouawa watatupwa nje, 2 maiti zao zitatoa uvundo, 2 milima itatota kwa damu zao. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
2 Kings 9:35Lakini walipotoka kwenda kumzika, hawakukuta kitu chochote isipokuwa fuvu la kichwa, miguu yake na mikono.
Isaiah 34:7Nyati wataanguka pamoja nao, 2 ndama waume na mafahali wakubwa. 1 Nchi yao italowana kwa damu, 2 nayo mavumbi yataloa mafuta ya nyama. 1
Jeremiah 22:19Atazikwa maziko ya punda: 2 ataburutwa na kutupwa 2 nje ya malango ya Yerusalemu.” 1
Ezekiel 32:4Nitakutupa nchi kavu 2 na kukuvurumisha uwanjani. 1 Nitawafanya ndege wote wa angani watue juu yako 2 na wanyama wote wa nchi 2 watajishibisha nyama yako. 1
Ezekiel 32:6Nitailowanisha nchi kwa damu yako inayotiririka 2 njia yote hadi milimani, 2 nayo mabonde yatajazwa na nyama yako. 1
Ezekiel 38:22Nitatekeleza hukumu juu yake kwa tauni na kwa umwagaji wa damu. Nitaifanya mvua ya mafuriko kunyesha, mvua ya mawe na moto wa kiberiti juu yake na juu ya vikosi vyake na juu ya mataifa mengi walio pamoja naye.