Isaiah 34:2
Bwana ameyakasirikia mataifa yote; 2 ghadhabu yake ni juu ya majeshi yao yote. 1 Atawaangamiza kabisa, 2 atawatia mikononi mwa wachinjaji. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
3Waliouawa watatupwa nje, 2 maiti zao zitatoa uvundo, 2 milima itatota kwa damu zao. 1
Cross References
Joshua 11:20Kwa maana Bwana mwenyewe ndiye aliifanya mioyo yao iwe migumu, ili kupigana vita dhidi ya Israeli ili apate kuwafutilia mbali pasipo huruma, kama Bwana alivyomwagiza Mose.
Isaiah 13:5Wanakuja kutoka nchi za mbali sana, 2 kutoka miisho ya mbingu, 1 Bwana na silaha za ghadhabu yake, 2 kuangamiza nchi yote. 1
Isaiah 30:25Katika siku ile ya mauaji makuu, wakati minara itakapoanguka, vijito vya maji vitatiririka juu ya kila mlima mrefu na kila kilima kilichoinuka sana.
Isaiah 66:16Kwa maana kwa moto na kwa upanga wake 2 Bwana atatekeleza hukumu juu ya watu wote, 1 nao wengi watakuwa ni wale 2 waliouawa na Bwana.
Jeremiah 25:31Ghasia zitasikika hadi miisho ya dunia, 2 kwa maana Bwana ataleta mashtaka dhidi ya mataifa; 1 ataleta hukumu juu ya wanadamu wote 2 na kuwaua waovu wote,’ ” 4 asema Bwana.
Joel 3:9Tangazeni hili miongoni mwa mataifa: 2 Jiandaeni kwa vita! 1 Amsha askari! 2 Wanaume wote wapiganaji 2 wasogee karibu na kushambulia. 1