The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 34 › Isaiah 34:7

Isaiah 34:7

Nyati wataanguka pamoja nao, 2 ndama waume na mafahali wakubwa. 1 Nchi yao italowana kwa damu, 2 nayo mavumbi yataloa mafuta ya nyama. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And the unicorns shall come down with them, and the bullocks with the bulls; and their land shall be soaked with blood, and their dust made fat with fatness.

In Context

6Upanga wa Bwana umeoga katika damu, 2 umefunikwa na mafuta ya nyama: 1 damu ya kondoo na mbuzi, 2 mafuta kutoka figo za kondoo dume. 1 Kwa maana Bwana ana dhabihu huko Bosra, 2 na machinjo makuu huko Edomu. 1

8Kwa sababu Bwana anayo siku ya kulipiza kisasi, 2 mwaka wa malipo, 2 siku ya kushindania shauri la Sayuni. 1

Read all of Isaiah 34

Cross References

Numbers 24:8“Mungu alimleta kutoka Misri; 2 yeye ana nguvu kama nyati. 1 Anayararua mataifa yaliyo adui zake, 2 na kuvunja mifupa yao vipande vipande; 2 huwachoma kwa mishale yake. 1

Job 39:9“Je, nyati atakubali kukutumikia? 2 Atakaa karibu na hori lako usiku? 1

Psalms 92:10Umeitukuza pembe + 92:10 Pembe inawakilisha nguvu. yangu kama ile ya nyati dume, 2 mafuta mazuri yamemiminwa juu yangu. 1

Jeremiah 50:11“Kwa sababu hushangilia na kufurahi, 2 wewe utekaye urithi wangu, 1 kwa sababu unachezacheza kama mtamba anayepura nafaka, 2 na kulia kama farasi dume, 1

Ezekiel 32:6Nitailowanisha nchi kwa damu yako inayotiririka 2 njia yote hadi milimani, 2 nayo mabonde yatajazwa na nyama yako. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 34:7

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 34:6Isaiah 34Isaiah 34:8 →