The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 35 › Isaya 35:10

Isaya 35:10

waliokombolewa na Bwana watarudi. 1 Wataingia Sayuni wakiimba; 2 furaha ya milele itakuwa juu ya vichwa vyao. 1 Watapata furaha na shangwe; 2 huzuni na majonzi vitakimbia.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And the ransomed of the LORD shall return, and come to Zion with songs and everlasting joy upon their heads: they shall obtain joy and gladness, and sorrow and sighing shall flee away.

In Context

9Huko hakutakuwepo na simba, 2 wala mnyama mkali hatapita njia hiyo, 2 wala hawatapatikana humo. 1 Ila waliokombolewa tu ndio watakaopita huko, 2

Read all of Isaya 35

Cross References

Psalms 14:7Laiti wokovu wa Israeli 2 ungalikuja kutoka Sayuni! 1 Wakati Bwana arejeshapo 2 wafungwa wa watu wake, 1 Yakobo na ashangilie, 2 Israeli na afurahi!

Psalms 126:2Vinywa vyetu vilijaa kicheko, 2 ndimi zetu zilijaa nyimbo za shangwe. 1 Ndipo iliposemwa miongoni mwa mataifa, 2 “ Bwana amewatendea mambo makuu.” 1

Isaiah 30:19Enyi watu wa Sayuni, mnaoishi Yerusalemu, hamtalia tena. Tazameni jinsi atakavyokuwa na huruma mtakapolia kwa kumwomba msaada! Mara asikiapo, atawajibu.

Isaiah 51:11Wale waliolipiwa fidia na Bwana watarudi. 2 Wataingia Sayuni wakiimba; 2 furaha ya milele itakuwa taji juu ya vichwa vyao. 1 Furaha na shangwe zitawapata, 2 huzuni na kulia kwa uchungu kutatoweka. 1

Isaiah 61:7Badala ya aibu yao 2 watu wangu watapokea sehemu maradufu, 1 na badala ya fedheha 2 watafurahia katika urithi wao; 1 hivyo watarithi sehemu maradufu katika nchi yao, 2 nayo furaha ya milele itakuwa yao. 1

Isaiah 65:19Nami nitaifurahia Yerusalemu 2 na kuwafurahia watu wangu; 1 sauti ya maombolezo na ya kilio 2 haitasikika humo tena. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 35:10

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 35:9Isaya 35