Isaya 61:7
Badala ya aibu yao 2 watu wangu watapokea sehemu maradufu, 1 na badala ya fedheha 2 watafurahia katika urithi wao; 1 hivyo watarithi sehemu maradufu katika nchi yao, 2 nayo furaha ya milele itakuwa yao. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 21:17Ni lazima amkubali mwana wa mke asiyempenda kama mzaliwa wa kwanza kwa kumpa sehemu ya vile vyote alivyo navyo maradufu. Mwana huyo ni ishara ya kwanza ya nguvu za baba yake. Haki ya mzaliwa wa kwanza ni yake yeye. 1 Mwana Mwasi
Job 42:10Baada ya Ayubu kuwaombea rafiki zake, Bwana akamwondoa kwenye uteka, akamfanikisha tena naye akampa mara mbili ya vile alivyokuwa navyo hapo mwanzoni.
Isaiah 35:10waliokombolewa na Bwana watarudi. 1 Wataingia Sayuni wakiimba; 2 furaha ya milele itakuwa juu ya vichwa vyao. 1 Watapata furaha na shangwe; 2 huzuni na majonzi vitakimbia.
Isaiah 51:11Wale waliolipiwa fidia na Bwana watarudi. 2 Wataingia Sayuni wakiimba; 2 furaha ya milele itakuwa taji juu ya vichwa vyao. 1 Furaha na shangwe zitawapata, 2 huzuni na kulia kwa uchungu kutatoweka. 1
Isaiah 60:19Jua halitakuwa tena nuru yako mchana, 2 wala mwangaza wa mwezi hautakuangazia, 1 kwa maana Bwana atakuwa nuru yako ya milele, 2 naye Mungu wako atakuwa utukufu wako. 1
Zechariah 9:12Rudieni ngome yenu, enyi wafungwa wa tumaini; 2 hata sasa ninatangaza kwamba 2 nitawarejesheeni maradufu. 1