Isaiah 35:6
Ndipo kilema atarukaruka kama kulungu, 2 nao ulimi wa aliye bubu utapaza sauti kwa shangwe. 1 Maji yatatiririka kwa kasi katika nyika, 2 na vijito katika jangwa. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
5Ndipo macho ya vipofu yatafumbuliwa 2 na masikio ya viziwi yatazibuliwa. 1
Cross References
Exodus 17:6Huko nitasimama mbele yako karibu na mwamba wa Horebu. Uupige mwamba na maji yatatoka ndani yake kwa ajili ya watu kunywa.” Kwa hiyo Mose akafanya haya mbele ya wazee wa Israeli.
Nehemiah 9:15Katika njaa yao uliwapa mkate kutoka mbinguni, na katika kiu yao uliwatolea maji kutoka kwenye mwamba. Uliwaambia waingie na kuimiliki nchi ambayo ulikuwa umeapa kuwapa kwa mkono ulioinuliwa.
Psalms 51:15Ee Bwana, fungua midomo yangu, 2 na kinywa changu kitatangaza sifa zako. 1
Psalms 107:35Aligeuza jangwa likawa madimbwi ya maji, 2 nayo ardhi kame kuwa chemchemi za maji zitiririkazo; 1
Isaiah 35:1Jangwa na nchi kame vitafurahi; 2 nyika itashangilia na kuchanua maua. 1 Kama waridi,
Isaiah 41:18Nitaifanya mito itiririke juu ya vilima vilivyo kame, 2 nazo chemchemi ndani ya mabonde. 1 Nitaligeuza jangwa liwe mabwawa ya maji, 2 nayo ardhi iliyokauka kuwa chemchemi za maji. 1