Isaiah 35:8
Nako kutakuwa na njia kuu, 2 nayo itaitwa Njia ya Utakatifu. 1 Wasio safi hawatapita juu yake; 2 itakuwa ya wale watembeao katika Njia ile; 1 yeye asafiriye juu yake, 2 ajapokuwa mjinga, hatapotea. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 19:7Sheria ya Bwana ni kamilifu, 2 ikihuisha nafsi. 1 Shuhuda za Bwana ni za kuaminika, 2 zikimpa mjinga hekima. 1
Psalms 25:8Bwana ni mwema na mwenye adili, 2 kwa hiyo huwafundisha wenye dhambi njia zake. 1
Proverbs 4:18Njia ya wenye haki ni kama nuru ya kwanza ya mapambazuko, 2 ambayo hungʼaa zaidi na zaidi mpaka mchana mkamilifu. 1
Proverbs 9:4Anawaambia wale wasio na akili, 2 “Wote ambao ni wajinga na waje hapa! 1
Isaiah 11:16Itakuwepo njia kuu kwa mabaki ya watu wake 2 wale waliosalia kutoka Ashuru, 1 kama ilivyokuwa kwa Israeli 2 walipopanda kutoka Misri.
Isaiah 30:21Mkigeuka kuume au kushoto, masikio yenu yatasikia sauti nyuma yenu ikisema, “Hii ndiyo njia, ifuateni.”