Isaya 36:20
Ni yupi miongoni mwa miungu yote ya nchi hizi ameweza kuokoa nchi yake mkononi mwangu? Inawezekanaje basi Bwana aiokoe Yerusalemu mkononi mwangu?”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 5:2Farao akasema, “Huyo Bwana ni nani, hata nimtii na kuruhusu Israeli uende? Simjui huyo Bwana wala sitawaruhusu Israeli waende.”
2 Kings 19:22Ni nani uliyemtukana na kumkufuru? 2 Ni nani uliyeinua sauti yako dhidi yake, 1 na kumwinulia macho yako kwa kiburi? 2 Ni dhidi ya yule Aliye Mtakatifu wa Israeli! 1
2 Chronicles 32:19Wakanena juu ya Mungu wa Yerusalemu kama vile walivyonena juu ya miungu ya mataifa mengine ya dunia ambayo ni kazi ya mikono ya wanadamu.
Job 40:9Je, una mkono kama wa Mungu, 2 nawe waweza kutoa sauti ya ngurumo kama yake? 1
Psalms 73:9Vinywa vyao huweka madai hata kwa mbingu, 2 nazo ndimi zao humiliki duniani. 1
Isaiah 37:18“Ni kweli, Ee Bwana, kwamba wafalme wa Ashuru wameyaangamiza mataifa haya yote pamoja na nchi zao.