Ayubu 40:9
Je, una mkono kama wa Mungu, 2 nawe waweza kutoa sauti ya ngurumo kama yake? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Hast thou an arm like God? or canst thou thunder with a voice like him?
In Context
8“Je, utabatilisha hukumu yangu? 2 Utanilaumu mimi ili kujihesabia haki mwenyewe? 1
10Basi jivike mwenyewe utukufu na fahari, 2 nawe uvae heshima na enzi. 1
Cross References
Exodus 15:6“Mkono wako wa kuume, Ee Bwana 2 ulitukuka kwa uweza. 1 Mkono wako wa kuume, Ee Bwana, 2 ukamponda adui. 1
Job 9:4Hekima yake ni kubwa sana na ana uwezo mwingi mno. 2 Ni nani aliyempinga naye akawa salama? 1
Job 33:12“Lakini mimi ninakuambia, katika jambo hili wewe una makosa, 2 kwa maana Mungu ni mkuu kuliko mwanadamu. 1
Job 37:4Baada ya hayo huja sauti ya ngurumo yake; 2 Mungu hunguruma kwa sauti yake ya fahari. 1 Wakati sauti yake ingurumapo tena, 2 huuachilia umeme wake wa radi. 1
Psalms 29:4Sauti ya Bwana ina nguvu; 2 sauti ya Bwana ni tukufu. 1
Psalms 89:10Wewe ulimponda Rahabu + 89:10 Rahabu hapa ina maana jina la Misri kwa fumbo, yaani mwenye majivuno (lakini sio Rahabu wa Yos 2). 2 kama mmojawapo wa waliochinjwa; 1 kwa mkono wako wenye nguvu, 2 uliwatawanya adui zako. 1