Isaiah 37:22
hili ndilo neno ambalo Bwana amelisema dhidi yake: 1 “Bikira binti Sayuni anakudharau na kukudhihaki. 2 Binti Yerusalemu anatikisa kichwa chake unapokimbia. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
1 Samuel 17:36Mtumishi wako ameshaua simba na dubu pia; huyu Mfilisti asiyetahiriwa atakuwa kama mmoja wa hao, kwa sababu ameyatukana majeshi ya Mungu aliye hai.
Job 16:4Mimi pia ningeweza kuzungumza kama ninyi, 2 kama mngekuwa katika hali yangu; 1 ningeweza kutoa hotuba nzuri dhidi yenu, 2 na kuwatikisia ninyi kichwa changu. 1
Psalms 9:14ili niweze kutangaza sifa zako 2 katika malango ya Binti Sayuni 2 na huko niushangilie wokovu wako. 1
Psalms 27:1Bwana ni nuru yangu na wokovu wangu, 2 nimwogope nani? 1 Bwana ni ngome ya uzima wangu, 2 nimhofu nani? 1
Psalms 46:1Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu, 2 msaada utakaoonekana tele wakati wa mateso. 1
Isaiah 8:9Inueni kilio cha vita, enyi mataifa, 2 na mkavunjwevunjwe! 2 Sikilizeni, enyi nyote nchi za mbali. 1 Jiandaeni kwa vita, nanyi mkavunjwevunjwe! 2 Jiandaeni kwa vita, nanyi mkavunjwevunjwe! 1