Ayubu 16:4
Mimi pia ningeweza kuzungumza kama ninyi, 2 kama mngekuwa katika hali yangu; 1 ningeweza kutoa hotuba nzuri dhidi yenu, 2 na kuwatikisia ninyi kichwa changu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
5Lakini kinywa changu kingewatia moyo; 2 faraja kutoka midomoni mwangu, ingewaletea nafuu. 1
Cross References
Job 6:2“Laiti uchungu wangu ungeweza kupimwa, 2 nayo taabu yangu yote ingewekwa kwenye mizani! 1
Job 11:2“Je, maneno haya yote yapite bila kujibiwa? 2 Je, huyu mnenaji athibitishwe kuwa na haki? 1
Psalms 22:7Wote wanionao hunidhihaki, 2 hunivurumishia matusi, wakitikisa vichwa vyao: 1
Psalms 44:14Umetufanya kuwa mithali miongoni mwa mataifa, 2 mataifa hutikisa vichwa vyao. 1
Proverbs 10:19Wakati maneno ni mengi, dhambi haikosekani, 2 lakini yeye ambaye huzuia ulimi wake ni mwenye busara. 1
Jeremiah 18:16Nchi yao itaharibiwa, 2 itakuwa kitu cha kudharauliwa daima; 1 wote wapitao karibu nayo watashangaa 2 na kutikisa vichwa vyao. 1