The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 37 › Isaya 37:23

Isaya 37:23

Ni nani uliyemtukana na kumkufuru? 2 Ni nani uliyeinua sauti yako dhidi yake, 1 na kumwinulia macho yako kwa kiburi? 2 Ni dhidi ya yule Aliye Mtakatifu wa Israeli! 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Whom hast thou reproached and blasphemed? and against whom hast thou exalted thy voice, and lifted up thine eyes on high? even against the Holy One of Israel.

In Context

22hili ndilo neno ambalo Bwana amelisema dhidi yake: 1 “Bikira binti Sayuni anakudharau na kukudhihaki. 2 Binti Yerusalemu anatikisa kichwa chake unapokimbia. 1

24Kupitia kwa wajumbe wako 2 umelundika matukano juu ya Bwana. 1 Nawe umesema, 2 ‘Kwa magari yangu mengi ya vita, 1 nimepanda juu ya vilele vya milima, 2 vilele vya juu sana katika Lebanoni. 1 Nami nimeiangusha mierezi yake mirefu, 2 misunobari yake iliyo bora sana. 1 Nimefikia sehemu zake zilizoinuka juu sana, 2 misitu yake iliyo mizuri sana. 1

Read all of Isaya 37

Cross References

Exodus 5:2Farao akasema, “Huyo Bwana ni nani, hata nimtii na kuruhusu Israeli uende? Simjui huyo Bwana wala sitawaruhusu Israeli waende.”

Exodus 15:11“Ni nani miongoni mwa miungu aliye kama wewe, Ee Bwana? 2 Ni nani kama Wewe: 3 uliyetukuka katika utakatifu, 3 utishaye katika utukufu, 3 ukitenda maajabu? 1

1 Samuel 17:36Mtumishi wako ameshaua simba na dubu pia; huyu Mfilisti asiyetahiriwa atakuwa kama mmoja wa hao, kwa sababu ameyatukana majeshi ya Mungu aliye hai.

2 Kings 19:22Ni nani uliyemtukana na kumkufuru? 2 Ni nani uliyeinua sauti yako dhidi yake, 1 na kumwinulia macho yako kwa kiburi? 2 Ni dhidi ya yule Aliye Mtakatifu wa Israeli! 1

Psalms 44:16kwa ajili ya dhihaka ya wale wanaonilaumu na kunitukana, 2 kwa sababu ya adui, ambaye anatamani kulipiza kisasi. 1

Psalms 74:10Ee Mungu, mtesi atakudhihaki mpaka lini? 2 Je, adui watalitukana jina lako milele? 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 37:23

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 37:22Isaya 37Isaya 37:24 →