Isaya 37:24
Kupitia kwa wajumbe wako 2 umelundika matukano juu ya Bwana. 1 Nawe umesema, 2 ‘Kwa magari yangu mengi ya vita, 1 nimepanda juu ya vilele vya milima, 2 vilele vya juu sana katika Lebanoni. 1 Nami nimeiangusha mierezi yake mirefu, 2 misunobari yake iliyo bora sana. 1 Nimefikia sehemu zake zilizoinuka juu sana, 2 misitu yake iliyo mizuri sana. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 15:9“Adui alijivuna, 2 ‘Nitawafuatia, nitawapata. 1 Nitagawanya nyara; 2 nitajishibisha kwa wao. 1 Nitafuta upanga wangu 2 na mkono wangu utawaangamiza.’ 1
Psalms 20:7Wengine wanatumaini magari ya vita, na wengine farasi, 2 bali sisi tutalitumainia jina la Bwana, Mungu wetu. 1
Isaiah 10:18Fahari ya misitu yake na mashamba yenye rutuba 2 utateketeza kabisa, 2 kama vile mtu mgonjwa adhoofikavyo. 1
Isaiah 29:17Kwa muda mfupi sana, je, Lebanoni haitageuzwa kuwa shamba lenye rutuba, 2 na shamba lenye rutuba liwe kama msitu? 1
Isaiah 36:15Msikubali Hezekia awashawishi kumtumaini Bwana kwa kuwaambia, ‘Hakika Bwana atatuokoa. Mji huu hautaangukia mikononi mwa mfalme wa Ashuru.’
Jeremiah 22:6Kwa kuwa hili ndilo Bwana asemalo kuhusu jumba la kifalme la mfalme wa Yuda: 1 “Ingawa uko kama Gileadi kwangu, 2 kama kilele cha Lebanoni, 1 hakika nitakufanya uwe kama jangwa, 2 kama miji ambayo haijakaliwa na watu. 1