Isaya 37:27
Watu wa miji hiyo wameishiwa nguvu, 2 wanavunjika mioyo na kuaibishwa. 1 Wao ni kama mimea katika shamba, 2 kama machipukizi mororo ya kijani, 1 kama majani yachipuayo juu ya paa la nyumba, 2 ambayo hukauka kabla ya kukua. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Numbers 14:9Ila tu msimwasi Bwana. Wala msiwaogope watu wa nchi hiyo, kwa sababu tutawameza. Ulinzi wao umeondoka, lakini Bwana yupo pamoja nasi. Msiwaogope.”
Psalms 37:2kwa maana kama majani watanyauka mara, 2 kama mimea ya kijani watakufa mara. 1
Psalms 92:7ingawa waovu huchipua kama majani 2 na wote watendao mabaya wanastawi, 2 wataangamizwa milele. 1
Psalms 127:1Bwana asipoijenga nyumba, 2 wajengao hufanya kazi bure. 1 Bwana asipoulinda mji, 2 walinzi wakesha bure. 1
Isaiah 19:16Katika siku ile Wamisri watakuwa kama wanawake. Watatetemeka kwa hofu mbele ya mkono wa Bwana Mwenye Nguvu Zote anaoinua dhidi yao.
Jeremiah 5:10“Piteni katika mashamba yake ya mizabibu na kuyaharibu, 2 lakini msiangamize kabisa. 1 Pogoeni matawi yake, 2 kwa kuwa watu hawa sio wa Bwana. 1