bible.software › Isaiah › Isaiah 37 › Isaiah 37:28
Isaiah 37:28
“Lakini ninajua mahali ukaapo, 2 kutoka kwako na kuingia kwako, 2 na jinsi unavyoghadhibika dhidi yangu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But I know thy abode, and thy going out, and thy coming in, and thy rage against me.
In Context
27Watu wa miji hiyo wameishiwa nguvu, 2 wanavunjika mioyo na kuaibishwa. 1 Wao ni kama mimea katika shamba, 2 kama machipukizi mororo ya kijani, 1 kama majani yachipuayo juu ya paa la nyumba, 2 ambayo hukauka kabla ya kukua. 1
29Kwa sababu unaghadhibika na ufidhuli dhidi yangu, 2 na kwa sababu ufidhuli wako umefika masikioni mwangu, 1 nitaweka ndoana yangu puani mwako 2 na hatamu yangu kinywani mwako, 2 nami nitakufanya urudi kwa njia ile uliyoijia.
Read all of Isaiah 37
Cross References
Proverbs 5:21Kwa maana njia za mtu ni wazi kabisa mbele za Bwana, 2 naye huyapima mapito yake yote. 1
Jeremiah 23:23“Je, mimi ni Mungu aliyeko hapa karibu tu,” 4 Bwana asema, 2 “wala si Mungu aliyeko pia mbali? 1
This Verse In Other Editions
Study Isaiah 37:28