Isaya 37:26
“Je, hujasikia? 2 Zamani sana niliamuru hili. 1 Siku za kale nilipanga hili; 2 sasa nimelifanya litokee, 1 kwamba umegeuza miji yenye ngome 2 kuwa malundo ya mawe. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 50:20Mlikusudia kunidhuru, lakini Mungu alikusudia mema, ili litimie hili linalofanyika sasa, kuokoa maisha ya watu wengi.
Psalms 76:10Hakika ghadhabu yako dhidi ya wanadamu inakuletea sifa, 2 na masalia ya ghadhabu yako unajifunga mshipi. 1
Isaiah 10:15Je, shoka laweza kujigamba kuwa na nguvu zaidi 2 kuliko yule anayelitumia, 1 au msumeno kujisifu 2 dhidi ya yule anayeutumia? 1 Ni kana kwamba fimbo ingeweza kumwinua yeye aichukuaye, 2 au mkongojo ungemwinua mwenye kuutumia! 1
Isaiah 25:1Ee Bwana, wewe ni Mungu wangu, 2 nitakutukuza na kulisifu jina lako, 1 kwa maana katika ukamilifu wa uaminifu 2 umetenda mambo ya ajabu, 2 mambo yaliyokusudiwa tangu zamani. 1
Isaiah 46:10Ni mimi nitangazaye mwisho tangu mwanzo, 2 naam, tangu zamani za kale, 2 mambo ambayo hayajatendeka. 1 Ninasema: Kusudi langu ndilo litakalosimama, 2 nami nitatenda mapenzi yangu yote. 1
Acts 2:23Huyu mtu akiisha kutolewa kwa shauri la Mungu lililokusudiwa kwa kujua kwake Mungu tangu zamani, ninyi, kwa mikono ya watu wabaya, mlimuua kwa kumgongomea msalabani.