The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 10 › Isaiah 10:32

Isaiah 10:32

Siku hii ya leo watasimama Nobu; 2 watatikisa ngumi zao 1 kwa mlima wa Binti Sayuni, 2 kwa kilima cha Yerusalemu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

As yet shall he remain at Nob that day: he shall shake his hand against the mount of the daughter of Zion, the hill of Jerusalem.

In Context

31Madmena inakimbia; 2 watu wa Gebimu wanajificha. 1

33Tazama, Bwana, Bwana Mwenye Nguvu Zote, 2 atayakata matawi kwa nguvu kuu. 1 Miti mirefu sana itaangushwa, 2 ile mirefu itashushwa chini. 1

Read all of Isaiah 10

Cross References

1 Samuel 21:2Daudi akamjibu Ahimeleki kuhani, akisema, “Mfalme ameniagiza shughuli fulani na kuniambia, ‘Mtu yeyote asijue chochote kuhusu kazi yako wala maagizo yako!’ Kuhusu watu wangu, nimewaambia tukutane mahali fulani.

2 Chronicles 32:1Baada ya yale yote aliyokuwa amefanya Hezekia kwa uaminifu mkubwa, Senakeribu mfalme wa Ashuru akaja na kuvamia Yuda. Akaizunguka miji yenye ngome kwa jeshi, akifikiri kuiteka iwe yake.

Nehemiah 11:32katika Anathothi, Nobu na Anania,

Isaiah 2:2Katika siku za mwisho 1 mlima wa Hekalu la Bwana utaimarishwa 2 kama mlima mkuu miongoni mwa milima yote, 1 utainuliwa juu ya vilima, 2 na mataifa yote yatamiminika huko.

Isaiah 10:24Kwa hiyo, hili ndilo Bwana, Bwana Mwenye Nguvu Zote asemalo: 1 “Enyi watu wangu mkaao Sayuni, 2 msiwaogope Waashuru, 1 wanaowapiga ninyi kwa fimbo 2 na kuinua rungu dhidi yenu, kama Misri ilivyofanya. 1

Isaiah 13:2Twekeni bendera juu ya mlima usio na kitu, 2 wapazieni sauti, 1 wapungieni mkono waingie 2 katika malango ya wenye heshima. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 10:32

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 10:31Isaiah 10Isaiah 10:33 →