Isaiah 37:32
Kwa kuwa kutoka Yerusalemu watakuja mabaki, 2 na kutoka Mlima Sayuni kundi la walionusurika. 1 Wivu wa Bwana Mwenye Nguvu Zote, 2 ndio utatimiza jambo hili.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
31Mara nyingine tena mabaki ya nyumba ya Yuda 2 wataeneza mizizi chini na kuzaa matunda juu. 1
Cross References
2 Kings 19:31Kwa kuwa kutoka Yerusalemu watakuja mabaki, 2 na kutoka Mlima Sayuni kundi la walionusurika. Wivu wa Bwana Mwenye Nguvu Zote ndio utatimiza jambo hili.
Isaiah 9:7Kuongezeka kwa utawala wake na amani 2 hakutakuwa na mwisho. 1 Atatawala katika kiti cha enzi cha Daudi 2 na juu ya ufalme wake, 1 akiuthibitisha na kuutegemeza 2 kwa haki na kwa adili, 2 tangu wakati huo na hata milele. 1 Wivu wa Bwana Mwenye Nguvu Zote 2 utatimiza haya. 1 Hasira Ya Bwana Dhidi Ya Israeli 1
Isaiah 59:17Alivaa haki kama dirii kifuani mwake, 2 na chapeo ya wokovu kichwani mwake, 1 alivaa mavazi ya kisasi 2 naye akajifunga wivu kama joho. 1
Zechariah 1:14Kisha malaika yule aliyekuwa akizungumza nami akasema, “Tangaza neno hili: Hili ndilo Bwana Mwenye Nguvu Zote asemalo: ‘Nina wivu sana kwa ajili ya Yerusalemu na Sayuni,