The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 38 › Isaya 38:12

Isaya 38:12

Kama hema la mchunga mifugo, 2 nyumba yangu imebomolewa na kutwaliwa kutoka kwangu. 1 Kama mfumaji nimevingirisha maisha yangu, 2 naye amenikatilia mbali kutoka kitanda cha mfumi. 2 Mchana na usiku uliyakomesha maisha yangu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Mine age is departed, and is removed from me as a shepherd’s tent: I have cut off like a weaver my life: he will cut me off with pining sickness: from day even to night wilt thou make an end of me.

In Context

11Nilisema, “Sitamwona tena Bwana, 2 Bwana katika nchi ya walio hai, 1 wala sitamtazama tena mwanadamu, 2 wala kuwa na wale ambao sasa wanakaa katika ulimwengu huu. 1

13Nilingoja kwa uvumilivu hadi mapambazuko, 2 lakini alivunja mifupa yangu yote kama simba. 2 Mchana na usiku uliyakomesha maisha yangu. 1

Read all of Isaya 38

Cross References

Job 4:20Kati ya mawio na machweo 2 huvunjwa vipande vipande; 1 bila yeyote kutambua, 2 huangamia milele. 1

Job 7:3ndivyo nilivyogawiwa miezi ya ubatili, 2 nami nimeandikiwa huzuni usiku hata usiku. 1

Job 9:25“Siku zangu zapita mbio kuliko mkimbiaji; 2 zinapita upesi bila kuona furaha hata kidogo. 1

Job 17:1Moyo wangu umevunjika, 2 siku zangu zimefupishwa, 2 kaburi linaningojea. 1

Psalms 73:14Mchana kutwa nimetaabika, 2 nimeadhibiwa kila asubuhi. 1

Psalms 90:5Unawatowesha wanadamu katika usingizi wa kifo, 2 nao ni kama majani machanga ya asubuhi: 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 38:12

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 38:11Isaya 38Isaya 38:13 →