The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 38 › Isaya 38:14

Isaya 38:14

Nililia kama mbayuwayu au korongo, 2 niliomboleza kama hua aombolezaye. 1 Macho yangu yalififia nilipotazama mbinguni. 2 Ee Bwana, ninataabika, njoo unisaidie!” 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Like a crane or a swallow, so did I chatter: I did mourn as a dove: mine eyes fail with looking upward: O LORD, I am oppressed; undertake for me.

In Context

13Nilingoja kwa uvumilivu hadi mapambazuko, 2 lakini alivunja mifupa yangu yote kama simba. 2 Mchana na usiku uliyakomesha maisha yangu. 1

15Lakini niseme nini? 2 Amesema nami, naye yeye mwenyewe amelitenda hili. 1 Nitatembea kwa unyenyekevu 2 katika miaka yangu yote 1 kwa sababu ya haya maumivu makali 2 ya nafsi yangu. 1

Read all of Isaya 38

Cross References

Job 17:3“Ee Mungu, nipe dhamana unayodai. 2 Ni nani mwingine atakayeweka dhamana kwa ajili yangu? 1

Psalms 69:3Nimechoka kwa kuomba msaada, 2 koo langu limekauka. 1 Macho yangu yanafifia, 2 nikimtafuta Mungu wangu. 1

Psalms 119:82Macho yangu yamefifia, nikingoja ahadi yako; 2 ninasema, “Utanifajiri lini?” 1

Psalms 123:1Ninayainua macho yangu kwako, 2 kwako wewe ambaye kiti chako cha enzi kiko mbinguni. 1

Isaiah 59:11Wote tunanguruma kama dubu; 2 tunalia kwa maombolezo kama hua. 1 Tunatafuta haki, kumbe hakuna kabisa; 2 tunatafuta wokovu, lakini uko mbali. 1

Ezekiel 7:16Wale wote watakaopona na kutoroka watakuwa milimani, wakiomboleza kama hua wa mabondeni, kila mmoja kwa sababu ya dhambi zake.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 38:14

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 38:13Isaya 38Isaya 38:15 →