Isaya 38:15
Lakini niseme nini? 2 Amesema nami, naye yeye mwenyewe amelitenda hili. 1 Nitatembea kwa unyenyekevu 2 katika miaka yangu yote 1 kwa sababu ya haya maumivu makali 2 ya nafsi yangu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
1 Samuel 1:10Kwa uchungu wa rohoni Hana alilia sana na akamwomba Bwana.
2 Kings 4:27Alipomfikia huyo mtu wa Mungu pale mlimani, akashika miguu yake. Gehazi akaja ili amwondoe, lakini yule mtu wa Mungu akasema, “Mwache! Yuko katika uchungu mkubwa, lakini Bwana amenificha jambo hili na hajaniambia kwa nini.”
Job 7:11“Kwa hiyo sitanyamaza; 2 nitanena kutokana na maumivu makuu ya roho yangu, 2 nitalalama kwa uchungu wa nafsi yangu. 1
Job 21:25Mtu mwingine hufa katika uchungu wa nafsi, 2 akiwa hajafurahia kamwe jambo lolote zuri. 1
Psalms 116:1Ninampenda Bwana kwa maana amesikia sauti yangu; 2 amesikia kilio changu ili anihurumie. 1