The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 38 › Isaiah 38:13

Isaiah 38:13

Nilingoja kwa uvumilivu hadi mapambazuko, 2 lakini alivunja mifupa yangu yote kama simba. 2 Mchana na usiku uliyakomesha maisha yangu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

I reckoned till morning, that, as a lion, so will he break all my bones: from day even to night wilt thou make an end of me.

In Context

12Kama hema la mchunga mifugo, 2 nyumba yangu imebomolewa na kutwaliwa kutoka kwangu. 1 Kama mfumaji nimevingirisha maisha yangu, 2 naye amenikatilia mbali kutoka kitanda cha mfumi. 2 Mchana na usiku uliyakomesha maisha yangu. 1

14Nililia kama mbayuwayu au korongo, 2 niliomboleza kama hua aombolezaye. 1 Macho yangu yalififia nilipotazama mbinguni. 2 Ee Bwana, ninataabika, njoo unisaidie!” 1

Read all of Isaiah 38

Cross References

1 Kings 20:36Kwa hiyo yule nabii akasema, “Kwa sababu hukumtii Bwana, mara tu tutakapoachana utauawa na simba.” Na baada ya yule mtu kuondoka, simba akatokea na kumuua.

Job 10:16Kama nikiinua kichwa changu juu, unaninyatia kama simba, 2 na kuonyesha tena uwezo wa kutisha dhidi yangu. 1

Psalms 39:10Niondolee mjeledi wako, 2 nimeshindwa kwa mapigo ya mkono wako. 1

Psalms 51:8Unipe kusikia furaha na shangwe, 2 mifupa uliyoiponda na ifurahi. 1

Lamentations 3:4Amefanya ngozi yangu na nyama yangu kuchakaa 2 na ameivunja mifupa yangu. 1

Hosea 5:14Kwa maana nitakuwa kama simba kwa Efraimu, 2 kama simba mkubwa kwa Yuda. 1 Nitawararua vipande vipande na kuondoka; 2 nitawachukua mbali, 2 na hakuna wa kuwaokoa. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 38:13

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 38:12Isaiah 38Isaiah 38:14 →